[Intro - American Choir Chanting] Kwanini
Afrika?
Kwanini
Afrika?
Why
Africa?
Why
Africa?
[Verse 1] Ninataka
kuandika,
juu
ya
bara
Afrika,
Bara
lililotukuka,
utajiri
kadhalika,
Lakini
mengi
maafa,
watu
wake
waleseka,
Mabaya
mengi
yatukuta,
kwanini
Afrika?
[Chorus - Big American Reggae Anthem] Njaa
Afrika,
machafuko
Afrika,
Shida
Afrika,
ubaguzi
Afrika,
Ufisadi
Afrika,
udikteta
Afrika,
Mengi
yatukuta,
kwanini
Afrika?
[Verse 2 - More American Flow] Giza
latanda,
kila
kona
barani,
Watu
waranda,
kutafuta
amani,
Pesa
zapanda,
silaha
mikenoni,
Mengi
yatukuta,
kwanini
Afrika.
[Bridge - Spoken Word American Style] Ninataka
kuandika,
kwa
viongozi
Afrika,
Kwenye
shida
watuweka,
madaraka
kujitwika,
Hawataki
kuondoka,
hata
muda
ukiisha,
Mr.
Leader,
why?
Why?
[Final Chorus - Choir + Lead] Kwanini
Afrika,
bara
letu
jamani,
Kila
ubaya
hutupika,
kila
kona
huzuni,
Vifo
vinatufika,
kwa
sababu
ya
wageni,
Mengi
yatukuta,
kwanini
Afrika?
Kwanini
Afrika?
Tell
me
why,
Africa?
[Intro - American Choir Chanting] Kwanini
Afrika?
Kwanini
Afrika?
Why
Africa?
Why
Africa?
[Outro - Chant Fading] Imeandaliwa
na
Mwandishi
Cormas
Simnawa...
Kwanini...
kwanini...
Kwanini
Afrika?
Tell
me
why,
Africa?
[Outro - Chant Fading] Imeandaliwa
na
Mwandishi
Cormas
Simnawa...
Kwanini...
kwanini...
Kwanini
Afrika?
Kwanini
Afrika?
Why
Africa?
Why
Africa?