Frobits
🎵 A song made on Frobits

Twendeni Tukamwone Yesu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Twendeni watu wote, tukamwone Yesu
Twendeni Kanisa lote, tukamwone Yesu
Twendeni na wa baba tukamwone Yesu
Twendeni na wa mama tukamwone Yesu
Japo kuna misukosuko twendeni tukafikekule
Japo ni kwa kuchoka sana twendeni tufike kule
Japo ni kwa masononeko twendeni tukafike kule
Njiani miba ni mingi mingi sana
Njiani kuna kushuka na kupanda oooo
mabonde nimengi, milima ni mingi, njaa nikali sana
emungu tusaidie tufike Salama
Hatuwezi kufika bila mkono wako, hatuwezi fika kwa nguvu zetu, tunakuhitaji wewe
Mwalim wetu, kiongozi wetu yesu tuongoze tufike kule
Usikate tamaa
Usisononeke
Usifadhaike
Usirudi nyuma eeee wewe songa mbele
Haijalishi watu watasema mangapi juu yako usikate tamaa
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyumaaaaa.
Ooo Mimi eee
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyumaaaaa.
Hata wakijipanga kunipoteza
Siongopi
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyumaaaaa.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyumaaaaa.
Hakuna wakunizuwia ni ninae Yesu maishani mwangu
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyuma.
Nasonga mbele na yesu,
Wala sirudi nyumaaaaa.
Issack kasonje

More songs by issackkasonje Listen to songs created by others
FROBITS