Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sifa Kwa Darline M

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female

vocals] *

Mungu

wangu,

unayejua

mwanzo

wangu

na

hatima

yangu,

Nimekuja

kwako

mimi

Darling

na

sala

ya

Uvunjo

siku

hii

yaleo.*

Nathibitisha

katika

Neno

lako,

nathibitisha

katika

ahadi

yako

na

imani

kwamba

umenifunika.

Ninapotoka

na

kurudi,

Mungu,

nalindwa,

nimejaa

neema

na

nafadhili

kubwa. 1. *

Kusanyiko

lolote

baya

na

la

kishetani

dhidi

ya

hatima

yangu

Darling,

litawanywe

sasa

kwa

jina

lako

tukufu.* 2. *

Mshale

wowote

mbaya

uliorushwa

dhidi

ya

maisha

yangu

Darling,

kazi

yangu,

biashara

yangu,

familia

yangu (

na

mengineyo),

urudi

kwa

mtumaji

wake

sasa

kwa

jina

lako

tukufu.* 3. *

Shimo

lolote

lililochimbwa

kwa

ajili

yangu

Darling

na

adui,

aanguke

mwenyewe

ndani

yake

kwa

faraja

kuu . 4. *

Ee

Mungu,

wafanye

maadui

wanaonifuatilia

katika

maisha

na

hatima

yangu

warudi

nyuma. 5. *

Wale

wanaopanga

kunidhuru

na

kunilaani,

wakumbwe

na

aibu,

wachanganyikiwe

na

wajionee

fedheha

kwa

jina

lako

tukufu.* 6. *

Maadui

wa

maendeleo

yangu,

waangamizwe

kwa

jina

la

Yesu.* 7. *

Utambulisho

wowote

mbaya

uliopangwa

dhidi

ya

maisha

yangu,

uteketezwe

na

moto

wa

Roho

Mtakatifu.*

Anenaye

baraka

dhidi

ya

jina

langu

Darling

aishi

kwa

baraka

eeh

Mungu!

Ila

anenaye

laana

basi

akaishi,

kulala,

kutembea,

kula

na

hata

kunywa

hizo

laana

maana

ni

sehemu

ya

maisha

yake.

Kwa

imani

kuu

kwako

Mungu

wangu

uliyeiumba

mbingu

na

Ardhi

ni

kwamba

hakuna

silaha

yoyote

iliyopangwa

dhidi

yangu

mwanao

Darling

itafanikiwa

kamwe!

na

Amina.

More songs by DAUGHTER Listen to songs created by others
FROBITS