Frobits
🎵 A song made on Frobits

Oya Mister DJ

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

*Tumia lyrics hizi kutoa wimbo mzuri sana wa Bongo Fleva*

Hapa kwa juu kwa moyo pana kwa nguo
Kwenye ubongo kuna kakitu
Kanasumbua
Haki ya mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka anauza ningenunua

Oya Mister DJ
Nipoze moyo DJ
Ongeza sauti DJ
Nitakutunza DJ
Oya oya Mister DJ
Niponze moyo DJ
Acha ishe DJ
Nitakutunza DJ
Refrain]
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum

Nishike sikio kuna mengine nitaropoka
Kumbe chujio wezi maji kuyachota
Vile vilio, vilio nilichoka
Kama salio angesema ningekoapa aaah

Hapa kwa juu kwa moyo pana kwa nguo
Kwenye ubongo kuna kakitu
Kanasumbua
Haki ya mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka anauza ningenunua

Oya Mister DJ
Nipoze moyo DJ
Ongeza sauti DJ
Nitakutunza DJ
Oya oya Mister DJ
Niponze moyo DJ
Acha ishe DJ
Nitakutunza DJ

Oh oh oh oh
Hum hum hum hum
Oh oh oh oh
Hum hum hum hum

More songs by NJOGOPA Listen to songs created by others
FROBITS