[male vocals] Naomba
wimbo
mpya
unaosema
Nipe
kibali
Bwana
Familia
yangu
ifurahie
Na
mama
yangu
alitukuze
jina
lako
Nifanye
wa
baraka
bwana
Dunia
ibarikiwe
Niinuwe
na
jamii
yangu
ikujuwe
Nipe
upendeleo
Nilitukuze
jina
lako
milele
Bariki
uzao
wangu
Bariki
familia
yangu
Eee
Yesu
Wewe
ni
tegemeo
langu