Frobits
🎵 A song made on Frobits

Yesu Yu Karibu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Hallelujah, Yesu yu karibu!
Sikia sauti yake, amina!
Dalili zilizonenwa za kurudi kwa Yesu
Sasa zimeonekana, Yesu yu karibu
Dalili zilizonenwa za kurudi kwa Yesu
Sasa zimeonekana, Yesu yu karibu kabisa
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Bwana Yesu anakuja, amina!
Magonjwa mengi yamezidi duniani
Vita navyo vimezuka ulimwenguni
Mitetemeko imezidi duniani sasa
Dhambi nayo yaongezeka kila wakati
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Watakatifu wataimba hosanna haleluya
Bwana Yesu anakuja, amina!
Twangojea tu parapanda ilie
Watakatifu tuiage dunia milele
Twangojea tu parapanda ilie
Amen, amina, haleluya!

More songs by Samuel Listen to songs created by others
FROBITS