[male vocals] Isaiah
arobaini
yasema
hivi 1
Watulizeni
mioyo,
watulizeni
mioyo,
watu
wangu,
asema
Mungu
wenu. 2
Semeni
na
moyo
wa
Yerusalemu,
kauambieni
kwa
sauti
kuu
ya
kwamba
vita
vyake
vimekwisha,
uovu
wake
umeachiliwa;
kwa
kuwa
amepokea
kwa
mkono
wa
Bwana
adhabu
maradufu
kwa
dhambi
zake
zote. 3
Sikiliza,
ni
sauti
ya
mtu
aliaye,
Itengenezeni
nyikani
njia
ya
Bwana;
Nyosheni
jangwani
njia
kuu
kwa
Mungu
wetu. 4
Kila
bonde
litainuliwa,
Na
kila
mlima
na
kilima
kitashushwa;
Palipopotoka
patakuwa
pamenyoka,
Na
palipoparuza
patasawazishwa; 5
Na
utukufu
wa
Bwana
utafunuliwa,
Na
wote
wenye
mwili
watauona
pamoja;
Kwa
kuwa
kinywa
cha
Bwana
kimenena
haya. 6
Sikiliza,
ni
sauti
ya
mtu
asemaye,
Lia!
Nikasema,
Nilie
nini?
Wote
wenye
mwili
ni
majani,
Na
wema
wake
wote
ni
kama
ua
la
kondeni; 7
Majani
yakauka,
ua
lanyauka;
Kwa
sababu
pumzi
ya
Bwana
yapita
juu
yake.
Yakini
watu
hawa
ni
majani. 8
Majani
yakauka,
ua
lanyauka;
Bali
neno
la
Mungu
wetu
litasimama
milele. 9
Wewe
uuhubiriye
Sayuni
habari
njema,
Panda
juu
ya
mlima
mrefu;
Wewe
uuhubiriye
Yerusalemu
habari
njema,
Paza
sauti
kwa
nguvu;
Paza
sauti
yako,
usiogope;
Iambie
miji
ya
Yuda,
Tazameni,
Mungu
wenu. 10
Tazameni,
Bwana
Mungu
atakuja
kama
shujaa,
Na
mkono
wake
ndio
utakaomtawalia;
Tazameni,
thawabu
yake
i
pamoja
naye,
Na
ijara
yake
i
mbele
zake. 11
Atalilisha
kundi
lake
kama
mchungaji,
Atawakusanya
wana-kondoo
mikononi
mwake;
Na
kuwachukua
kifuani
mwake,
Nao
wanyonyeshao
atawaongoza
polepole. 12
Ni
nani
aliyeyapima
maji
kwa
konzi
ya
mkono
wake,
na
kuzikadiri
mbingu
kwa
shubiri,
na
kuyashika
mavumbi
ya
dunia
katika
pishi,
na
kuipima
milima
kwa
uzani,
na
vilima
kama
kwa
mizani? 13
Ni
nani
aliyemwongoza
roho
ya
Bwana,
na
kumfundisha
kwa
kuwa
mshauri
wake? 14
Alifanya
shauri
na
nani,
ni
nani
aliyemwelimisha
na
kumfunza
njia
ya
hukumu,
na
kumfunza
maarifa,
na
kumwonyesha
njia
ya
fahamu? 15
Tazama,
mataifa
ni
kama
tone
la
maji
katika
ndoo,
huhesabiwa
kuwa
kama
mavumbi
membamba
katika
mizani;
tazama,
yeye
huvinyanyua
visiwa
kama
ni
kitu
kidogo
sana. 16
Lebanoni
nayo
hautoshi
kwa
kuni,
wala
wanyama
wake
hawatoshi
kwa
kafara. 17
Mataifa
yote
huwa
kama
si
kitu
mbele
zake;
huhesabiwa
kwake
kuwa
duni
ya
si
kitu,
na
ubatili. 18
Basi,
mtamlinganisha
Mungu
na
nani?
Au
mtamfananisha
na
mfano
wa
namna
gani? 19
Sanamu
fundi
mmoja
huiyeyusha,
na
mfua
dhahabu
huifunika
dhahabu,
huifulia
mikufu
ya
fedha. 20
Yeye
aliye
maskini
sana
hata
hawezi
kutoa
sadaka
ya
namna
hii,
huchagua
mti
usiooza,
hujitafutia
fundi
mstadi
wa
kusimamisha
sanamu
ya
kuchonga
isiyoweza
kutikisika. 21
Je!
Hamkujua?
Hamkusikia?
Hamkuambiwa
tokea
mwanzo?
Hamkufahamu
tangu
kuwekwa
misingi
ya
dunia? 22
Yeye
ndiye
anayeketi
juu
ya
duara
ya
dunia,
na
hao
wanaokaa
ndani
yake
huwa
kama
panzi;
yeye
ndiye
azitandazaye
mbingu
kama
pazia
na
kuzikunjua
kama
hema
ya
kukaliwa; 23
ndiye
awatanguaye
wakuu,
na
kuwabatilisha
waamuzi
wa
dunia. 24
Naam,
hawakupandwa;
hawakutiwa
katika
ardhi
kama
mbegu;
naam,
shina
lao
halikutia
mizizi
katika
ardhi;
tena
awapuzia
tu,
wakanyauka,
upepo
wa
kisulisuli
wawaondoa
kama
mabua
makavu. 25
Mtanifananisha
na
nani,
basi,
nipate
kuwa
sawa
naye?
Asema
yeye
aliye
Mtakatifu. 26
Inueni
macho
yenu
juu,
mkaone;
ni
nani
aliyeziumba
hizi;
aletaye
nje
jeshi
lao
kwa
hesabu;
aziita
zote
kwa
majina;
kwa
ukuu
wa
uweza
wake,
na
kwa
kuwa
yeye
ni
hodari
kwa
nguvu
zake;
hapana
moja
isiyokuwapo
mahali
pake.