[male vocals] Talk )
Eeh
Njiti,
Kibe
boy!
Mkondai,
Mkong'oni
yetu
Dodoma
mbele,
safari
ya
ushindi
Jua
linachomoza
kijijini
kwetu
Mkondai
tunashika
jembe
mkononi
Shoka
begani
kwa
mapambano
shambani
Mkondai
ni
kijiji
kizuri
sana
Mkondai,
hatukati
tamaa
kabisa
Baraka
za
Mungu
zi
juu
yetu
Mkondai
Tukitizama
milima,
tunaona
jiwe
la
mtonyi,
Mnyamiti,
uoto
wa
asili
kuswaanu
weee!
Mkondai,
na
vitongoji
vyake
Mkong'oni,
Magomaa,
Mapinduzi,
Zati,
Halo,
Zeato,
Mgonaa,
Kinyami,
Msejelela,
Ponze
Twende
mbele,
usirudi
nyuma
Mkondai,
wewe
ni
mshindi
wa
kweli
Vijana
tufanye
kazi
kwa
bidii,
vijana
wa
Mkong'oni
Tupambane
kwa
kazi
na
sio
majungu
Lakini
imani
yako
ni
kama
mwamba
Unainua
wengine
njiani
mwako
Roho
ya
upendo,
roho
ya
umoja
Tumuombe
Mungu
tusiwe
watu
wa
hovyo
Mkondai,
kijijini
kwetu
kuzuri
Dodoma
fm
inatangaza
ushujaa
wako
Dodoma
tunajivunia
kijiji
cha
Mkondai
Mkondai,
panda
mbegu
za
ushindi
Nuru
yako
inang'aa
kila
kona
Twende
mbele,
usirudi
nyuma
Mkondai,
wewe
ni
mshindi
wa
kweli
Kazi
ya
mikono
yako
italeta
tunda
Inuka,
inuka,
Mkondai
yetu
Sauti
ya
ushindi
inalia
kijijini
Mungu
anakuongoza
kwenye
kilele
Zidi
kupambana,
zidi
kung'aa
Safi
sana,
eeh
baba!
Mkondai,
panda
mbegu
za
ushindi
Tunajivuni
Dodoma
yetu,
Mkondai
kijiji
chetu
Kazi
yako
ni
baraka
kwa
kijiji
Twende
mbele,
usirudi
nyuma
Mkondai,
wewe
ni
mshindi
wa
nguvu
Mkong'oni
tufanye
kazi
Mkondai,
Mkong'oni
yetu!
Dodoma
yetu,
Mkondai
yetu!
Tuache
tamaa
kazi
mbele
Barikiwa
daima,
Mkondai!
NJITI
KIBE
BOY