Frobits
🎵 A song made on Frobits

Tanzania New Generation Kids: Sauti ya Matumaini

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Wimbo

UHUSU

kikundi

Cha

uimbaji

Cha

TANZANIA

NEW

GENERATION

KIDS,

kilichopo

shule

ya

msingi

kombe

wilaya

ya

kaliua,

mkoa

wa

TABORA.

kikiwa

chini

ya

mwalimu

MUHUNDA

JAMES.

kikiongozwa

na

waimbaji

kama

DAINESI

melisiana,

Zena,

zainabu,

devotha,

agness

Stella,

zuhura,

Edina,

hazina,

pendo,

orada,

hellena,

Beatrice,

sifa,

Anna,

doto,

aida,

Irene,

gladi,

janeth

na

zawadi ,

kilianzishwa

mwaka 2026

na

mpaka

Sasa

kinafanya

vizuri

katika

soko

la

mziki ,

kikiimba

nyimbo

za

haki

za

watoto ,

uzalendo

tanzania,

kuhimiza

amani

na

upendo

na

kupinga

ukatili

wa

kijinsia.

heshima ,

UMOJA

na

amani,

nguzo

muhimu

kwetu

More songs by jacson Listen to songs created by others
FROBITS