[female vocals] Verse 1.
Shangilia,
shangilia,
shangilia,
Leo
ni
siku
ya
furaha
kubwa,
ooh
Asante
Mungu
baba.
Tunakushukuru
Mungu
kwaajili
yetu
sisi
Lonanna
na
Nathan,
imekuwa
siku
ya
baraka
siku
ya
kipaimara,
Asante
wazazi
wetu
wapendwa,
asante
pia
walimu
wetu,
mmekuwa
walezi
wazuri
kwetu
kutufundisha
na
kutuongoza.
Chorus:
Ni
furaha,
ni
furaha
kwa
hatua
hii
ya
baraka!
Sasa
tumekuwa
Wakristo
kamili,
Ni
furaha,
ni
furaha
tunasema
asante
Yesu.
Chorus:
Ni
furaha,
ni
furaha
kwa
hatua
hii
ya
baraka!
Sasa
tumekuwa
Wakristo
kamili,
Ni
furaha,
ni
furaha
tunasema
asante
Yesu.
Verse 2.
Wazazi
tunawaahidi
tutakuwa
watoto
wema,
tutamshika
sana
elimu
hatumwachi
aende
zake.
Mmetulea
katika
njia
itufaayo
kamwe
hatutaicha
hata
tutakapo
kuwa
wazee.
Ni
furaha
kwa
Lonanna,
ni
furaha
kwa
Nathan
Leo
ni
siku
yetu,
asante
sana
Yesu
Chorus:
Ni
furaha,
ni
furaha
kwa
hatua
hii
ya
baraka!
Sasa
tumekuwa
Wakristo
kamili,
Ni
furaha,
ni
furaha
tunasema
asante
Yesu.