Rumi sita! Rumi sita!
Mateso ya dhambi... yamekwisha!
Tulizikwa pamoja na Yeye,
Tulibatizwa Katika Mauti Yake
Wala Si Katika Maji Mengi
ili tusiishi katika dhambi tena!
Tulizikwa pamoja na Yeye,
Tulibatizwa Katika Mauti Yake
Wala Si Katika Maji Mengi
ili tusiishi katika dhambi tena!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mashoka ya dhambi yamevunjika!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Tunatembea katika uzima mpya!
Kama Kristo alifufuka,
Na sisi tunaishi kwa utukufu Wake!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mashoka ya dhambi yamevunjika!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Tunatembea katika uzima mpya!
Kama Kristo alifufuka,
Na sisi tunaishi kwa utukufu Wake!
Utu wetu wa kale Ulisulubiwa,
Ili mwili wa dhambi ubatilike!
Sisi si watumwa tena,
Tunahesabu wenyewe tume kufa kwa dhambi,
Lakini tunaishi kwa Mungu!
Utu wetu wa kale Ulisulubiwa,
Ili mwili wa dhambi ubatilike!
Sisi si watumwa tena,
Tunahesabu wenyewe tume kufa kwa dhambi,
Lakini tunaishi kwa Mungu!
***_
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mashoka ya dhambi yamevunjika!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Tunatembea katika uzima mpya!
***_
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mashoka ya dhambi yamevunjika!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Tunatembea katika uzima mpya!
Msiutoe mwili wenu kwa dhambi...
La! Mjitoe kwa Mungu!
Kama chombo cha haki, cha uzima!
Msiutoe mwili wenu kwa dhambi...
La! Mjitoe kwa Mungu!
Kama chombo cha haki, cha uzima!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mshahara wa dhambi ni mauti!
Wala Si Maombi Yako Ya Toba
LAKINI KARAMA YA MUNGU...
NI UZIMA WA MILELE!
KATIKA KRISTO YESU BWANA WETU!
TUMEZALIWA UPYYAAA!
Mshahara wa dhambi ni mauti!
Wala Si Maombi Yako Ya Toba
LAKINI KARAMA YA MUNGU...
NI UZIMA WA MILELE!
KATIKA KRISTO YESU BWANA WETU!
_**_
Hakuna mtumwa tena!
Tuko huru! Tuko huru!
...The Grace walk....