Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kipenzi cha Moyo Wangu

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[male vocals] Mke

wangu

kipenzi

cha

moyo

wangu,

Wewe

wangu

na

mama

wa

wa

watoto

wangu,

Msiri

wangu,

damu

yangu

niliyepewa

na

Mungu

wangu.

Nakupenda

ua

la

moyo

wangu.

Sijutii

siumii

kuwa

na

wewe

Kipenzi

changu

nikilia

nalia

na

wewe

Mala

zote

umekua

sehemu

yangu

wewe.

Mungu

amenipa

kama

chaguo.

Nimepewa

na

Mungu ,

msaidi

wa

maisha

yangu,

Amekua

msada

wangu

Wakulea

watoto

wangu

Naomba

Mungu

akutunze

Naomba

Mungu

akutunze

Naomba

Mungu

akutunze

Kipenzi

cha

moyo

wangu

Mimi

bila

wewe

sononeko

la

moyo

wangu.

Nakupenda

nakujali

msili

wa

roho

yangu ,

kama

namba ,

zingesoma

ungekua

namba

moja.

More songs by Simonkalinga Listen to songs created by others
FROBITS