[male
vocals] (
Douces
notes
de
guitare
acoustique)
Maman
Masika
Eveline
Kahwere
Tutamkumbuka
daima
moyoni
Siku
zimepita
bado
tume
kupoteza
maman
Eveline,
tuli
kupenda
sana
zaidi
kuliko
chochote
Tu
es
partie
Maman
dans
ce
grand
infini
Laissant
derrière
toi
le
poids
de
la
saison,
Watoto
wako
tuna
kumbuka
sana
maneno
yako
imebaki
moyoni,
Hatuna
ya
kusema
yote
ilipangwa
hivyo
Maintenant
le
silence
vient
pour
nous
envahir
Kilio
yako
kila
mutu
ali
mwanga
machozi
tuki
kukumbuka
sana
Adieu
Maman
Masika,
Eveline
Kahwere
Mema
yako
itabaki
moyoni
kama
kumbukumbu,
La
terre
t'accueille
dans
son
repos
éternel,
Mungu
apokee
nafsi
yako,
Nous
pleurons
ton
absence
avec
humilité,
Safari
yako
niya
milele
aaaaah
milele
maman
Eveline
kahwere
Siku
zina
pita
bado
tuna
kukumbuka
famille
mbafu
moja
tunasema
wende
salama,
famille
kahwere
tunasema
wende
salama,
On
marche
dans
les
pas
que
tu
as
dessinés
Le
vide
est
immense
au
fond
de
notre
cœur
Mema
yako
imebaki
iki
tu
fundisha
mengi,
tunakumbuka
sura
yako
tuna
lia,
hata
mume
wako
krizo
naye
anasema
kwamba
wende
salama
atazidi
kukumbuka
mema
yako,
Cette
façon
que
tu
avais
de
nous
apaiser
Tu
restes
le
pilier,
l'esprit
rayonnant
Adieu
Maman
Masika,
Eveline
Kahwere,
mema
yako
itabaki
moyoni
kama
kumbukumbu,
La
terre
t'accueille
dans
son
repos
éternel
Mungu
apokee
nafsi
yako,
Nous
pleurons
ton
absence
avec
humilité
Safari
yako
niya
milele
aaaaah
milele
maman
Eveline
kahwere
Anaye
panguza
machozi
ni
mungu,
ni
kawaida
kufa
lakini
siyo
rahisi
kuvumilia
uliye
mupenda
akifa
Mais
jamais
l'amour
que
tu
nous
as
donné
Tu
resteras
toujours
dans
nos
têtes,
Umeenda
kwenye
dunia
nyingine,
Repose
en
paix
Maman,
dans
cette
grande
clarté
Adieu
Maman
Masika,
Eveline
Kahwere,
mema
yako
itabaki
moyoni
kama
kumbukumbu,
La
terre
t'accueille
dans
son
repos
éternel
Mungu
apokee
nafsi
yako
Nous
pleurons
ton
absence
avec
humilité
Safari
yako
niya
milele
aaaaah
milele
maman
Eveline
kahwere
Adieu
Eveline
Kahwere,
famille
mbafu
moja
famille
kahwere
tunasema
wende
salama,
watoto
wako
tuna
kumbuka
sana
maneno
yako,
Veille
sur
nous,
Maman
La
paix
soit
sur
ton
âme (
Guitare
acoustique
en
fondu
sortant)