Ah,
Mwalimu
Shoghi
Odari,
asante
sana!
Bongo!
Tangu
chekechea
hadi
sekondari
(eeh!)
Sauti
za
watoto
zinaimba
Kimaran
Comprehensive
inatabasamu
Kwa
malezi
yako
yaliyo
Wanafunzi
wote
tunasema
asante
Upendo
wako
umeenea
Hongera
Mwalimu
Shoghi
Odari
(hongera!)
kwa
uaminifu
na
ari
Kazi
umeimaliza
kwa
Kenya
nzima
inajua
umekuwa
Shoghi
Odari,
nenda
kapumzike
kwa
amani
Walimu,
wazazi
na
bodi
ya
shule
(BOM!)
Wote
tunakusifu
kwa
hekima
na
upendo
Uongozi
wako
ulikuwa
nguzo
imara
Umeleta
mwanga
na
maendeleo
Kimaran
Kazi
ya
mikono
yako
ibarikiwe
Shule
yetu
itakumbuka
hii
alama
Mwalimu
Shoghi
Odari
(hongera!)
Umetumika
kwa
uaminifu
na
ari