Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nitakupenda Wewe Hakuna Mwingine

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Love Song
21-06-2025
Naomba usinikatishe tamaa, ewe mpenzi wangu Unavyoliona tabasamu langu, ni sawa na moyo wangu, Tarajia upendo wa kweli, kutoka kwangu . Nitakupenda wewe , hakuna mwingine.
Nimekuamini wewe,
Nimekupa moyo wangu,
Tumtangulize mwenyezi Mungu
Ailinde ndoa yetu*2
usijaribiwe na yule muovu, EE mpenzi wangu, Nakuombea kwake mola apate kukutunza, Kwa ajili yangu Mungu akupe nguvu za kuishi na mimi
Kwa hivo zingatia amri zake nwenyezi Mungu
ninapokukosea naomba, uniambie kwa upole, badala ya kuondoka Nishauri ili nibadilike, wacha tuzungumze juu ya maswala yetu, kwa ukomavu na upendo, Siri zetu tumueleze Bwana.

More songs by barakalaurence762 Listen to songs created by others
FROBITS