Frobits
🎵 A song made on Frobits

Amapianao

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Amapianao, Nyarubanja, ubugabire!
Amapianao, Umwinyi, tumeikamata!
Nyarubanja, mfumo wakisiasaaa wa
Kikabaila, ambapo,msinhi wake
Mkubwaaa ni ardhi, huko ziwa VICTORIA kwa wahaya,
Omuukama kionhozi, na mamlaka yake
Mataabaka Kila siku nna maono yenye nguvu
Mabwana pia watwana ,walitunza na kufanya kazi
Kwa mabwana,angalau tuu kupata kashamba
Kakulima hataa kujenga nyumba nakuishi
Amapianao, Nyarubanja, ubugabire!
Amapianao, Umwinyi, tumeikamata!
Tusomee HTM na mwlimuu MINGII MINGI
Tutafaulu2 HTM Tutafaulu,oohhh tutafaulu
Ubugabireee,mfumo wa kisiasa wa ukabaila
Ambapo msingiii wake niiiii, umiliki wa mifugo
Hasa ng'gombe hiyo nikwa Wahaa,Mtwaa au Umwani
Ng'ombe muhimu katika jamii, za za wakulima
Hapo tunapatadamu,maziwa,nyaama,hata
Pembee na mbolea,tunalipa mahari kwa mkee
HTM form two tuasongaa mbelee oohh ohhh
Tunatembea mbele, hakuna kusimama!
Umwinyi oohh umwinyi (tumewaza!)
Huu sasa sasa utawala wa kisiasa (tunatenda!)
Ulioshamiri,hasa sehemu za pwani(usinyamaze!)
Kilwa,Mafia na Bagamoyo,unguja na pemba twende!
Amapianao, mwinyiii mkuu!
Hassan bin Abubakar bila uongo!
Wlimiliki,ardhi

More songs by frankmingi02 Listen to songs created by others
FROBITS