Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Wema Wake Mwokozi Ulipofunuliwa Alituokoa
Milele Milele Wokovu Tumeupata
Wema Wake Mwokozi Ulipofunuliwa Alituokoa
Milele Milele Wokovu Tumeupata
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Kama Si Wema Wake Bwana
Sisi Tusingeliokolewa Kamwe
Kama Si Msalaba Wake
Sisi Tungelikuwa Wapi
Kama Si Wema Wake Bwana
Sisi Tusingeliokolewa Kamwe
Kama Si Msalaba Wake
Sisi Tungelikuwa Wapi
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Nimefanyika Nyumba Yake Milele
Nimekaliwa Na Roho wake Milele
Yu Ndani Yangu Ni Ndani Yake
Makazi Yake Milele Aamina
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Nimefanyika Nyumba Yake Milele
Nimekaliwa Na Roho wake Milele
Yu Ndani Yangu Ni Ndani Yake
Makazi Yake Milele Aamina
Nimefanyika Nyumba Yake Milele
Nimekaliwa Na Roho wake Milele
Yu Ndani Yangu Ni Ndani Yake
Makazi Yake Milele Aamina
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Kwa Imani Katika Kazi Ya Msalaba Nimeokolewa Nimewekwa Huru Kabisa
Katikati Ya Miungu Yote
Hakuna Kama Yesu Wa Msalaba
Kwa Imani Katika Kazi Ya Msalaba Nimeokolewa Nimewekwa Huru Kabisa
Katikati Ya Miungu Yote
Hakuna Kama Yesu Wa Msalaba
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Basi Twendeni Shambani mwake
Tukahubiri Kazi Ya Msalaba
Wengine Wapate Kuokolewa
Wapokee Msamaha Wa Milele
Basi Twendeni Shambani mwake
Tukahubiri Kazi Ya Msalaba
Wengine Wapate Kuokolewa
Wapokee Msamaha Wa Milele
Mungu Yu Mwema Haleluya
Mungu Yu Mwema Haleluya
Haleeluya Haleeluya Aamen
Mtembeo Wa Neema The Grace walk