Sijui Bwana umefanya fanya fanya Je
Ninayosababu ya Ku kushukuru Yesuuu
Hapa tulipo kwa neema yakooo
Umefuta machozi kwenye macho yanguuu hata sasa wewe ni Ebenezer
Asante yesu
Asante yesu
Asante yesu
Asante kwa wema wako*3
Umeangusha maadui zangu wote Bwanaa
Vita vyangu umevibeba wewe Yesu
Hata hapo sijui umefanya fanya fanya Je Asante Yesu
Toka zamani wewe Mungu hakuna kama wewe yesu
Umetupenda upeo umetulinda kwa nguvu zako
Pokea shukrani zetu
Watoto wetu umewalinda kwa nguvu zako yesu Asante yesu
Asante yesu
Asante yesu
Asante yesu
Asante kwa wema wakooo *3