Yes mmh aye Ni mwarabu kwenye hii tena
Lets do this..
Weka volume juu, twende sasa!
Kipaji changu kinang'aa kama jua,mchana
Nimekuja na hii tena, hakuna kulala.
Kila beat ninaipa nafasi, na nikitoa,
Wimbo huu utakuwa stori ya mtaa.
Ngoja niseme najua, hawaoni kinachokuja,
Mimi niko hapa nitatoa tu ngoma kwajili yangu na wanangu wa damu, na wala sifati mkumbo wa wengi acha muda utaongea eeeh mmh
Mziki mpya, ngoma kali, unatetema,
Tuimbe wote, tusisite, hadi kieleweke wanangu
Kila kona natamani wasikie good music waenjoy life is short,'
Na fikra yangu inajaza kila nafasi.
Wana-dance, wanashangaa, hawajawahi ona nafanya hii tena tuenjoy na itasambaa
Hii track ni bomu, inaishi moyoni muulize hata Komu.
Ndio maana nasema, usisubiri kesho, enjoy leo kesho ni ahadi tusiyoijua wanangu
Mziki huu ni zawadi, kwa wote na sasa tutaimba pamoja eh!.
Asante kwa wanagu wote mnaosapoti, tupige kazi tufurahi umasikini unachosha eeh
Mziki mpya, ngoma kali, unatetema,
Tuimbe wote, tusisite, hadi kieleweke wanangu wa damu
Good sound new melody it's happening right now
Tuimbe sasa!
Eeh! Hii ni yetu sote
Ni mwarabu nimekuja na hii tena Asanteeee..