Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki;la la la la la mh Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.