Frobits
🎵 A song made on Frobits

Biashara ya Kinabii (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Biashara, biashara, biashara ya kibabe,iliyobeba unabii kumiliki na kutawala ni agizo la MUNGU, aa aa aa
Zack Hashim anatoa njia mpya, blockchain na crypto currency, forex, metaverse, nfts
Fidelity Group inasonga nakukupa maarifa, tutajifunza historia mpya ya kidijitali,
Walipanda mafanikio na wanavuna utajiri, wamekutana na furusa na wanashirukisha furusa kwa familia elfu Moja kuishi kibilionea ili zipate maendeleo ya ndoto zao na familia hizo na wewe amua uwe miongoni mwao ili ufurahie utajiri, maisha mazuri na kuishi kifalme , fiderity group tunaipenda na tunafurahia kuijua fidelity group na maisha yetu tunaishi kibilionea , watatii, watatupenda , fiderity group zaidi ya maisha
Biashara ya kinabii, sisi tunapanda juu,
Cryptocurrency mwendo mpya, kuweka imani yetu,
Fidelity Group pamoja, vareria kibate na jopo,
Uchumi wa familia utakua, tutasambaza hapo.
Mwaliko mkubwa wa maarifa, kila sehemu Nuru na inamulika,
Blockchain wazi wazi, hakuna kufikiria kwa haba,
Mr Zack anajua siri, anatusuza na akili,
Wote tunapanda pamoja, kujenga mali ya uhakika
Biashara ya kinabii,Tena ya kibabe sisi tunapanda kumiliki na kutawala,
Cryptocurrency mwendo mpya,mfumo wa sarafu mtandao kuweka imani yetu sawia na kuishi kibilionea na na na na taa na Nuru ipo
Fidelity Group , vareria kibate na jopo lake la viongozi wako imara kuhakikisha uchumi unapanda kwa familia elfu Moja kuishi kibilionea chini ya maono ya Mr Zack baba mwenye ndoto kubwa kwa watoto wake,
Oh, mmm, yeah, tunaweza, tunaweza, kwa umoja na nguvu Moja
Hakuna maziwa ya ajabu, kwa akili na kazi,
Kila mtu ana sehemu, kila mtu ana haki,
Biashara ya kinabii, leo hii na sisi tunainjoi.
Biashara, biashara, kinabii tunachoweza,
Fidelity Group nchi yenye mwanga kwa ajili ya maisha Yako kipenzi, karibu mh mh mh

More songs by God Listen to songs created by others
FROBITS