Frobits
🎵 A song made on Frobits

Afrobits Freestyle (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

(Omo! Tuwende! MejaT!)
Ngoma kali from Tz
Brother Janjaruka, fungua akili
Tuko hapa kwa ajili ya kujifunza oh
Hakuna tatizo, ni kujifunza kwa kwenda mbele
Elimu haina mwisho, ukomo ni kifo pekeyake
Kijana shtuka, waja kwenye dunia twapita
Oooooh, ooooh kijana jitambue
Oooh kijana jitambuee
Hatusimami, hatupumziki chini ya jua
Changamkia fursa, kamwe usilale
Kijana jitambue
Ooooh ujana ni maji ya moto
Akili kichwani mwako
Maisha yako tengeneza kwa bidii
Ungali ukiwa na nguvu
Pambana Popote ulipo
Punguza anasa jitambue
Oooh kijana jitambuee
Hatusimami, hatupumziki chini ya jua
Changamkia fursa, kamwe usilale
Kijana jitambue
Maisha ya sasa akili mbele
Bila discipline hatutakuona mstari wa mbele
Jitume kijana songa mbele kwa mbele
Tumia akili songa mbele
Weka akiba, wekeza jipambanue kwa maisha ya mbele
Aaaaaaah kijana jitambue
(Heyy heyy heyy! Changamkia Fursa!)

More songs by Meja Listen to songs created by others
FROBITS