Siku yako Fanuel Mmh ni siku yako tuendelee tukifurahi pamoja (Mambo vipi, kaka?) Poa! (Twende!)
Ni siku yako tuendelee tukifurahi pamoja
Jua linachomoza, siku mpya imeanza
Marafiki wote, sasa tupo pamoja, tukicheza kwa furaha ya kuzaliwa ndugu yetu FANUEL
Beat inapanda, mioyo unacheka kwa furaha ya leo
Asante wazazi wa Fanu leo tunaimba, tutacheza kwajili yake siku njema Fanu
Twende pamoja, mikono juu, wote tuimbe!
Furaha yetu, hakuna mfano, tunafurahi leo
Siku maalum kwako fanu, tunapiga kelele za shangwe mwarabu nakuombea heri fanu
Kwa marafiki zangu, huu upendo kweli, eeh mmh! Siku nzuri leo Fanuel mwilu
Mkwajuni songwe, kote tunafika, bila hofu
Tabasamu usoni, hatuna wasiwasi, maisha popote
Mziki unaongea, roho inasikia, inafurahia
Siku yako wote leo tunaweka kando shida na tunadance pamoja kwajili yako
Twende pamoja, mikono juu, wote tuimbe! Happy birthday fanu
Furaha yetu, hakuna mfano, tunafurahia siku yako ndugu yetu fanu furahi leo maisha ni mfupi kaka
Kwa marafiki zangu, huu ni wimbo tucheze na tuimbe wote happy birthday fanu
Ni bahati kuona siku ya mfano wa kuzaliwa kila mwaka ni neema za mungu mungu atubariki wote kwa imani tutafurahi tena mwakani
Ukisikia shangwe ujue fanu kazaliwa leo siku njema Fanuel kazaliwa leo eeeh
Ni mwarabu kwenye hii tena
Happy birthday fanuel mwilu