Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sawa Sawa Usiku (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Mh mh mh mh ee bwana wangu utege sikio lako unijibu maana mimi ni masikini na mhitaji unihifadhi nafsi yangu maana mimi nimekucha wewe Mungu wa wokovu wangu, nakulilia wewe bwana mchana kutwa unifurahishe nafsi yangu nikuitapo na wewe Mungu wangu ni mwingi wa msamaha na mwingi wa fadhili, mh mh mh siku ya mateso yangu nitakuita na wewe Mungu utaniitikia, maana katikati ya miungu hakuna kama wewe ee bwana wangu, mataifa yote watakusujudia wewe uliye mkuu, maana wewe ni mtenda miujiza ndiwe Mungu peke Yako, ooh ooh ooh kwa moyo wangu wote nitalitukuza jina lako milele maana fadhili zako kwangu ni nyingi mno baba yangu, umeiopoa nafsi yangu na kuzimu, umenitenga mbali na mateso, umenifanyia ishara ya wema kwa kuwa wewe bwana u mfariji wangu siku zote eeeee Mungu wangu, mwamba wangu imara kwako najificha
fadhili zako kwangu ni nyingi, umenitenga mbali na mateso, oh oh oh nakupenda Yesu, nakupenda baba yangu, nakupenda sana Mungu wangu

More songs by God Listen to songs created by others
FROBITS