Heiiiii tataaaa Amang'ana muraaaa,
Hahhahaha Muraaa hali ngumu lakini usikubali,
Fitaaa ni Fitaaaa mura mpakaa kielewekeee.
Mura nakumbuka siku ile ukumbi wa nanii walikupokea kwa shangwe na nderemo kwa kumzidi nanii kwa kura.
Nawewe ukafurahi zaidi bila kujua unachokuja kukutana nacho ila hongera sana.
Hahaha Manana Tata pole ulitegwa na ahadi zako, uliposema utajenga nanii na utaanzisha nanii na kuwaruhusu watu wako wote wafuge mifugo yote including nanii, apo ulitukosha wengi lakini Tata mbona kimya na mwakani ndio uchaguzi wa nanii hahahhahahaha Tata fitaaaa ni fitaaa Muraaaa.
Na wananzengo wanasema wanataka chenchi yao na pesa hawakutoa hahahha wallah hutoboi, Nakuapia hutoboi, we zengukazunguka ila hutoboi, hahahaha wanazengo wanasema hata ukiwachekea wanakuapia hutoboi fitaaaa ni fitaaa muraaaa hahahahaha.
Sasa muraa naomba nikunong'oneze, hivi unajua kuwa mzee nanii wa Kanda ananyemelea nanii hahaha ni kiti bhana,
Anazunguka zunguka kimya kimya anagongelea hoja usiku na mchana ili akunyang'anye nanii nawewe ulipoga hesabu kuwa utapiga moja mara tatu hongeraaa ila angalia usije ishia moja mara moja pambanaaa muraaaa, maana bila hivyo wallah hutoboi.
Ila sasa Manana ebu pambana basi unipee ka laki, ili Mimi ,mpare. Muhaya na Dada yangu wa njia moja mpenzi wa Vidogi tukapate supu ya nanii tupunguze stress za nanii kuharishwa uko nanii hahhahaha, sitanii Tata manana nipatie chochote nimefulia balaa hahahahhahaha