*HAPPY BIRTHDAY MRAMBA*
Siku njema hii Mungu ameifanya (aaaah)
Mwanga wachanua
Giza latoweka (aaaah)
Furaha yashamili
Wote wafurahia (aaaah)
Hongera mwalimu Mramba
Kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako.
Utii wako kazini
Bidii ya kufanya kazi
Moyo wa kusaidia kila mtu
Unyenyekevu wako kwa watu wote
Hakika makusudi ya kuzaliwa kwako unayatendea haki
Hongera mwalimu Mramba
Kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwako
Happy Birthday Mramba
Kata kipande cha keki ule
Kwa gharama ya dada yako Gift
Happy Birthday Mramba
Mwamba kabisa!!
Na leo Yanga timu yako unayoipenda
Tunatangaza ubingwa
Ili furaha yako izidi!!
Na iwe heri kwako. Amen!!