Bongo!
Twende!
Ah
ah!
Jobby,
umenitenda,
umeniacha
njia
panda.
Mwanzo
nilipokuona
nilizani,
nimepata
mpenzi
wa
kweli,
Ulivyo
niambia
ukasema,
huwezi
niacha
hata
siku
moja,
Sasa
umecanganywa
na
nani
mamaa,
unanigeuzia
mgongo,
Mapenzi
uliyoahidi
leo
yamekuwa
kama
ndoto
za
usiku.
Umeniacha
njia
panda,
ukizani
unanikomoa,
Kama
moto
moyoni
umesha
washa,
umewasha
kisha
umenitema,
Unadhani
ni
nani
atakae
uzima
tena,
mapenzi
yote
umeyazika,
Jobby
wewe,
umeniacha
njia
panda.
Kila
nikipita
mitaa
ya
Dar,
nakumbuka
maneno
yako,
Ulisema
tuko
pamoja,
sasa
nimebaki
peke
yangu
na
huzuni,
Daladala
ya
maisha
imesimama,
sijaelewa
mwelekeo,
Wewe
ulishashuka
kituo
cha
mbele,
mimi
nimebaki
na
majonzi.
Umeniacha
njia
panda,
ukizani
unanikomoa,
Kama
moto
moyoni
umesha
washa,
umewasha
kisha
umenitema,
Unadhani
ni
nani
atakae
uzima
tena,
mapenzi
yote
umeyazika,
Jobby
wewe,
umeniacha
njia
panda.
Ah,
mapenzi
yanauma,
hasa
ukiwa
umetendwa,
Jobby
ulinipa
matumaini,
sasa
umezima
taa,
Natafuta
majibu,
lakini
wapi,
umefunga
milango
yote.
Siwezi
kulia
milele,
maisha
lazima
yaendelee,
Ingawa
moyo
bado
unakuita,
Jobby
unakumbuka
tulikotoka?
Bado
nakupenda
sana,
lakini
sitaki
tena
kuteseka,
Njia
panda
hii,
nitapita
mimi
peke
yangu.
Umeniacha
njia
panda,
ukizani
unanikomoa,
Kama
moto
moyoni
umesha
washa,
umewasha
kisha
umenitema,
Unadhani
ni
nani
atakae
uzima
tena,
mapenzi
yote
umeyazika,
Jobby
wewe,
umeniacha
njia
panda.
Jobby,
umeniacha
njia
panda.
Mapenzi
ya
kweli,
yameishia
hapa.
Poa
sana,
naenda
zangu
Bongo.
Ah
ah,
twende!