[female vocals] Twende,
twende!
Picnic!
Saffepa
KIDS,
tuko
pamoja.
Asubuhi
imepambazuka,
jua
lachomoza
vizuri
Watoto
wote
wameamka,
mioyo
yao
iko
shwari
Tunajiandaa
kwa
safari,
picnic
ya
mwaka
huu
SAFFEPA
KIDS 2026,
tukutane
NGUZO
CAMP
Begi
mgongoni,
tabasamu
kwenye
nyuso
zetu
Tunakwenda
kufurahi,
tunakwenda
kujifunza
Twende
sote,
picnic
ni
yetu
Picnic
ya
watoto,
furaha
tele
moyoni
Twende
sote
watoto
wa
SAFFEPA,
picnic
ni
yetu
Tukutane
Nguzo
Camp,
tujenge
urafiki
wetu
Raha
sana,
furaha
ya
watoto
Kuna
michezo
mingi,
kuna
zawadi
kibao
Tutaimba
na
kucheza,
hadi
jua
kuzama
Hakuna
kukaa
nyumbani,
Twenzetu
twenzetu
Picnic
ndio
mpango,
ndio
raha
ya
watoto
Twende
sote
picnic,
picnic
ni
yetu
Picnic
ya
watoto,
furaha
tele
moyoni
Twende
sote
watoto
wa
SAFFEPA,
picnic
ni
yetu
Tukutane
Nguzo
camp,
tujenge
urafiki
wetu
Raha,
raha,
furaha
ya
watoto
Chakula
kipo
mezani,
vinywaji
vya
baridi
Tunashare
kila
kitu,
upendo
unatawala
SAFFEPA
KIDS 2026,
kumbukumbu
ya
daima
Tuwe
pamoja
daima,
kama
ndugu
wa
damu
Ah
ah!
Twende,
kila
mtoto
apate
nafasi
Twende
sote
SAFFEPA, 2026
ni
yetu
Picnic
ya
watoto,
furaha
tele
moyoni
Twende
sote
SAFFEPA, 2026
ni
yetu
Twende
sote,
picnic
ni
yetu
Picnic
ya
watoto,
furaha
tele
moyoni
Twende
sote
watoto
wa
SAFFEPA,
picnic
ni
yetu
Tukutane
Nguzo
Camp,
tujenge
urafiki
wetu
Raha
sana,
furaha
ya
watoto
Kuna
michezo
mingi,
kuna
zawadi
kibao
Tutaimba
na
kucheza,
hadi
jua
kuzama
Hakuna
kukaa
nyumbani,
Twenzetu
twenzetu
Picnic
ndio
mpango,
ndio
raha
ya
watoto
Picnic
oyeeeeee
Picnic
oyeeeeee
Picnic
safiiiii