Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ya Dunia (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[male vocals] Ya

Dunia,

aahh

Dunia

Ya

Dunia,

aahh

Dunia

Ya

Dunia,

aah

Dunia

Ya

Dunia,

aah

Dunia

Yanatumiza

sana

eeh

Yanatuumiza

sana

eeh

Ee

Mungu

Baba

kama

unaona

Ee

Mungu

Baba

kama

unasikia

Eee

Mungu

Baba

kama

hujalala

Sikia

maombi

yeeetu,

sikia

maombi

yeeetu,

Sikia

maombi

yeetu,

tuponye...

Wengine

wanalia,

wapendwa

wameondoka

Wengine

wanalia,

ndoa

zimevunjika

Wengine

wanalia,

amani

imepunguaaaaa

Ee

Mungu

Baba

kama

unaona

Ee

Mungu

Baba

kama

unasikia

Eee

Mungu

Baba

kama

hujalala

Sikia

maombi

yeeetu,

sikia

maombi

yeeetu

Sikia

maombi

yeeetu,

tuponyeee

Hata

lini

adui

yangu

ajipige

kifua

Hata

lini

adui

yangu

azidi

kucheka

Aashangilie

kwa

matali

Afurahie

kwa

vinubi

Na

wewe

unaonaa

Na

wewe

unaonaa

Utete

nao

baba

ee

Pigana

nao

baba

ee

Ya

Dunia,

aahh

Dunia

Ya

Dunia,

aah

Dunia

Ya

Dunia,

aah

Dunia

Tunakuamini

wewee

Sikia

maombi

yeetu,

Sikia

Maombi

yeetu,

Sikia

Maombi

yeetu,

Tuponyeee

tupitishe

salama

babaaeee

Asambe,

amina.

More songs by yohana Listen to songs created by others
FROBITS