[male vocals] ASANTE
kwakuni
zaa
Mimi
mtoto
wako
jofrey
umenizaa
kwashida
na
umenilea
kwashida
licha
yachangamoto
zote
ulzopitia
huku
acha
kuniombea
NAMImi
naludisha
shuklani
zangu
kwako
kupitia
wimbo
huu
nasema
Asante 🙏
mam
na
baba
kwakuni
Lea
nawaombea
muishi
miaka
mingi
sana
wazazi
wangu ❤️