Frobits
🎵 A song made on Frobits

Yesu Ameshinda Vita

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho
mmmh mmmh mmmh
Yesu ameshindaaah vita
Walikuja kwa njia moja akawatawanya kwa njia Saba
Kuta Za Jeriko zimeanguka wa Jina Lake yesu Kwa Jina Yesu *2
Maadui zangu wote meangukaah
Walishindana nami wa meangukaah
Walio chimba shimo wameingia wenyewe kwa La Yesuuu
Zimeanguka zimeanguka zimeanguka ngome za shetani zimeanguka wa Jina La Yesuuu
Watu wote SEMA Amen Amen Haleluyah Amen Amen Amen *2

More songs by Gasto Listen to songs created by others
FROBITS