You break my heart baby mama...
Nilitamani turudi ya zamani ila mapenzi kwako hayapo tena ooh come on!...
Uliondoka bila kujali maumivu ya moyo wangu
Macho yangu yalibaki kuangalia angalau u feel that I love you don't go baby mama
Kila wakati I can say mama rudi ila unasema no no you can't ooh no no, nawaza watoto how they feel without me there
nilifika ulipo ila dah! Very disappointed baby mama
Moyo wangu unauma, umevunjika kabisa
Wako karibu lakini wewe mbali na mimi
Nimekufa ndani, ndani, ndani
Ungekuwa ujumbe, ningetuma wote waone how i feel
Moyo tulia maybe one day will be alright.
Niliandika ujumbe lakini sijautuma
Maneno yangu mazuri yamebaki ndani, hisia hazitaki kukubali but i can fight my self inside
Ukumbuki tulikuwa tukiota ndoto pamoja
Sasa nipo peke yangu, ukasema nisijali tutakuwa pamoja hutoniacha peke yangu, leo nimekufata tuongee ajabu nimebaki mwenyewe why? mwenzangu
Usiku na mchana unakuja kwa ndoto zangu
Nikimaliza, naona uso wako mbele yangu, siwezi force sana Mungu kwangu ana maguvu sana kwani maisha ni formula huwezi rudi hata niki force sana
Moyo wangu unauma, umevunjika kabisa
Wako karibu lakini wewe mbali na mimi
Nimekufa ndani, ndani, ndani
Ungekuwa ujumbe, ningetuma wote waone how i feel
Moyo tulia maybe one day will be alright baby mama
Nilindie wanangu uncle fulani asije aka take place of mine kwao na usiache kuwaambia dad loves you japo I will be far away from you
Asante kwa kila dakika, kila saa ulonipa kunisikiliza nikitaka urudi ila still ukasema no no
Asante kwa furaha zilizopita
Lakini sasa, moyo unauma I have no choice baby mama
Na sitajuta kukujua until i die baby mama
Moyo wangu umevunjika...
Umevunjika sana...
Naumia ila acha niende nikapamanie our kids
I can't say goodbye nitabaki na nyie moyoni everytime everyday baby mama
Ni Mwarabu kwenye hii tena naimba mapenzi