[male vocals] Ooo
haleluya,
tunainua
mikono
Yesu
tunakuita,
uone
mateso
ya
vijana
Mafundi
na
vikarai
wa
Mjuni
Siku
zinaenda,
miaka
inakwenda
Bado
vikarai
mikononi,
hatuna
hata
kiwanja
Tunajikadilia
wenyewe,
tunajipa
moyo
Lakini
hali
zetu
hazieleweki,
tunalia
mbele
zako
Bwana
fungua
njia,
Mungu
wa
baraka
Vijana
wa
Mama
Jema
wanangoja
miujiza
Tunataka
nyumba,
tunataka
kesho
bora
Ondoa
aibu,
leta
utukufu
wako
Yesu
tunakuita,
tubadilishe
hatima
Jamani
mama
yangu,
mbona
hali
ngumu?
Achilia
mbali
kiwanja,
hata
bikoni
hatuna
Vijana
wanalala
sebureni
kama
baiskeli
Kama
mtungi
wa
gesi,
tunabanana
kila
siku
Ni
lini
nasi
mambo
yatabadilika,
Bwana?
Bwana
fungua
njia,
Mungu
wa
baraka
Vijana
wa
Mama
Jema
wanangoja
miujiza
Tunataka
nyumba,
tunataka
kesho
bora
Ondoa
aibu,
leta
utukufu
wako
Yesu
tunakuita,
tubadilishe
hatima
Tunachoka
kucheza
PS
na
mifuko
mitupu
Tunataka
kuoa,
tunataka
kuishi
vizuri
Sio
kugombea
maji,
sio
kuishi
kwa
kubahatisha
Simama
nasi,
uinue
kichwa
cha
kila
kijana
Asante
Yesu,
tunakuamini
wewe
tu
Maendeleo
hatuna,
tunaota
tu
ndoto
Lakini
Mungu
wangu,
wewe
ni
mkuu
kuliko
yote
Kama
ulivyomtoa
mwana
wa
maskini
Na
sisi
utatutoa,
utatupa
heshima
Tunangoja
saa
yako,
tunangoja
neema
yako
Bwana
fungua
njia,
Mungu
wa
baraka
Vijana
wa
Mama
Jema
wanangoja
miujiza
Tunataka
nyumba,
tunataka
kesho
bora
Ondoa
aibu,
leta
utukufu
wako
Yesu
tunakuita,
tubadilishe
hatima
Fungua
milango,
Yesu
uinuliwe
Amen,
haleluya,
tunapokea
baraka
Tunangoja
wakati
wako,
Asante
Mungu
Amen.