Frobits
🎵 A song made on Frobits

Shukrani Zangu Kwa Mungu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

SHUKRANI ZANGU KWA MUNGU
Nimerudie nini Bwana wangu. Kwa wema mkubwa alionitendea, yeye ni mwamba wa wokovu wangu.
Nitaziimba sifa zake daima milele na milele.
Sifa za Bwana zivume ndani yangu daima .
Watakatifu wafurahi walitukuze jina la Bwana.
Nitaimba sifa za Bwana madam ningali hai.
Nionapo ule msalaba wa Bwana Yesu, ninapata tumaini la wokovu wangu.
Dhambi zangu zote zilifutwa pale msalabani.
Deni zangu zote zililipwa pale msalabani
Na hata sasa namsifu yeye mwana wa Mungu.
Sasa yeye ndiye chanzo cha uhai wangu.
Yeye ndiye sababu ninaishi haleluya

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS