Kiitikio
Imba uliyetasa pasa sauti Yako Kwa kuimba,imba usiye nautungu pasa sauti Yako Kwa kuimba,kwani watoto WA aliyeachwa ni wengi kuliko WA aliyeozwax2
Panua hema Yako mama,wape watu vitu vyako,songeza ukuta ea nyumba Yako,uwe na nafasi yakutosashak,kwani Mungu atakuletea watu kutoka maeneo yote,
Kiitikio
Mungu Ako na WEWE,kwani yeye ni mume WA wajane,akuletea watu wake wakufariji,atakuletea watoto wengi,kwani yeye ni baba WA mayatima,hawezi kukuwacha,hatuwa nawe KILA wakati,kwani watoto WA aliyeachwa ni wengi kuliko WA aliyeozwax2
Kiitikio
Verse 3
Mungu mwenye rehema,atakurehemu SIKU zote,Yeye ni mwenye huruma atakuhurumia KILA SIKU,pia Ako na neema,atakuneemesha SIKU zote, kwani watoto WA aliyeachwa ni wengi kuliko WA aliyeozwax2