Frobits
🎵 A song made on Frobits

Utukufu kwa Mungu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

UTUKUFU.
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni,
Na amani iwe Kwa watu wote duniani kwa watu uliowapenda.
Uliowapenda.
Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu, tunakutukuza.
Tunakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu.
Bwana Mungu, Mfalme wa mbinguni,
Mungu Baba Mwenyezi.
Bwana Mwana wa pekee, Yesu Kristo.
Tunakusifu, tunakuhimidi, tunakuabudu, tunakutukuza.
Bwana Mungu, Mwana-Kondoo wa Mungu,
Mwana wa Baba.
Uziondoaye dhambi za dunia, utuhurumie. Utuhurumie.
Tunakusifu, tunakuhimidi, tunakuabudu, tunakutukuza.
Uziondoaye dhambi za dunia,
upokee sala zetu.
Uketiye mkono wa kuume wa Baba, utuhurumie.
Tunakusifu, tunakuhimidi, tunakuabudu, tunakutukuza.
Kwa kuwa Wewe peke yako ndiwe Mtakatifu;
Wewe peke yako ndiwe Bwana;
Wewe peke yako ndiwe Uliye juu, Yesu Kristo,
Tunakusifu, tunakuhimidi, tunakuabudu, tunakutukuza.
pamoja na Roho Mtakatifu,
katika utukufu wa Mungu Baba. Amina.
Amina, Amina, Amina.
Tunakusifu, tunakuhimidi, tunakuabudu, tunakutukuza.

More songs by Owiti Listen to songs created by others
FROBITS