To the Almighty God...
Eh eh...
Asante Mungu.
Nilipita kwenye giza nikatafuta mwanga,
Machozi yalinitoka lakini hukuniacha.
Leo nimesimama kwa neema yako Baba,
Kila hatua niliyopiga, mkono wako uliongoza.
Wengi walinibeza, wakasema sitaweza,
Lakini wewe ulininyanyua nikasimama tena.
mwarabu leo naimba kwa furaha,
Kwa sababu kila pumzi ni zawadi kutoka kwako.
Nikipiga magoti ninasema asante,
Kwa rehema zako zisizo na mwisho.
Every blessing comes from You,
You're the reason I'm still standing.
Asante Mungu kwa hapa nilipo,
Umenitoa mbali, nimeona mwanga.
Thank You Lord, You never let me go,
Your love is all I need to know. napaza sauti,
nasema: "Glory be to You forever!"
Sikuwa mkamilifu, lakini ulinipenda,
Nilipoanguka uliniinua tena.
Doors opened when I lost my hope,
You carried me when I couldn't cope.
Marafiki waliondoka, wewe hukubadilika,
Baraka zako zikanifunika.
Leo naimba kwa moyo wa shukrani,
Kwa kila siku mpya uliyonipa.
Hallelujah... Hallelujah...
You're my Father, You're my King.
Nitaimba milele,
Nitakutukuza daima.
Asante Mungu kwa hapa nilipo,
Safari bado lakini nawe nipo.
Thank You Jesus, You made a way,
I'll praise Your name every day.
mwarabu anasema kwa sauti kuu,
"Utukufu wote ni wako Mungu mkuu!"
Ni mwarabu...
From the bottom of my heart...
Asante Mungu...
Forever and ever...