Frobits
🎵 A song made on Frobits

Kumbukumbu ya Baba

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Baba

ulitutoka

na

kutuacha

wadogo,

tunakukumbuka

daima

ucheshi

wako

huruma

yako

na

hata

nyakat

zako

ambazo

ilibidi

kua

mkali

ili

kutunyoosha

watoto

wako,

ni

miaka 31

imepita

tangu

ufariki

dunia

maisha

hayakua

mepesi

ili

tunashukuru

mungu

kwa

misingi

iliotuachia

baba,

i

wish

ungekuwepo

japo

tupige

story

kwa

mala

ya

mwisho,

i

wish

ungekuwepo

japo

tukutunze

na

kuludisha

yale

uliotufanyia,

i

wish

ningekuona

japo

kwa

mala

ya

mwisho,

ila

ni

mipango

ya

mungu

nikilalamika

ntakua

nakufuru

mungu

ila

nasema

asante

kwa

yote

asante

kwa

maisha

ambayo

nimeshare

na

wewe,

asante

kwa

kua

baba

bora

More songs by Kichwa Listen to songs created by others
FROBITS