Sir Nixy! Washa ngoma!
Mtaa mzima, leo imechangamka
Mabeshte wote, wamekutana leo
Ngoma zetu, zinaskika hadi mbali
Kwenye system, tunasukuma, hatukubali
Stress tumezima, tunapiga sherehe
Hii ndio Kanairo, energy huwezi weka
Celebrate! Eh, leo ni noma! (Kanairo!)
Sherehe inaanza, twende mpaka mwisho
Celebrate! Vibes ni fresh, hakuna lawama
Muziki inabamba, kutoka jioni mpaka asubuhi, manze!
Kama ni msee, jenga msimamo
Dancing kwa ground, usikae kando
Mavibe kali, tunazipasha kwa hewa
Kila msee anacheza, bila wasiwasi, yo!
Forget your worries, leo ni sisi tu
Gengetone inabamba, na tuna Enjoy, vile!
Celebrate! Eh, leo ni noma! (Kanairo!)
Sherehe inaanza, twende mpaka mwisho
Celebrate! Vibes ni fresh, hakuna lawama
Muziki inabamba, kutoka jioni mpaka asubuhi, manze!
Kanairo kumechemka,warembo wamefika
Wamevalia kistyle,luku inadondoka
Wanapiga sherehe, design ya kipekee
Wazito wa jiji wanabaki wameduwaa!
Kutoka pwani nao wamefika,
Warembo wa mombasa, melanin inang'aa
Wanacheza taarab mchanganyiko wa genge
Machali wa mtaa wanameza tu mate!
Celebrate! Eh,leo ni noma!(Kanairo)
Sherehe inaanza,twende mpaka mwisho
Celebrate, vibes ni fresh,hakuna lawama
Muziki inabamba,kutoka jioni mpaka asubuhi,manze!
Sir Nixy! Party never stops!
Celebrate! Hii ndio life, manze!