Frobits
🎵 A song made on Frobits

Siku ya Ferister (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Eeeh ni Ferister day happy birthday Ferister
leo ni siku yako fei
Happy birthday Ferister ooh
Kumekucha kawaida ila kwa fei sio kawaida
Kuzaliwa ni mpango ila kuishi ni bahati
Ferister dada umezaliwa leo ni happy day so what mama?, acha tucheze happy birthday fei
Tabasamu lako linapendeza sana
Ferister wetu, tunafurahi leo
Mungu akulinde, uishi miaka mingi
Heri ya kuzaliwa, Ferister wetu
Leo tunasherehekea upendo wako
Heri ya kuzaliwa, malkia wetu
Cheza, furahi, leo ni siku yako!
Kila mtu anafurahi kwajili yako feri
Muziki unalia, tunacheza na kuimba
Umezaliwa mama la mama, Ferister mtu wa watu
Tunakupenda sana, enjoy your day dada fei
Heri ya kuzaliwa, Ferister wetu
Leo tunasherehekea upendo wako
Heri ya kuzaliwa, malkia wetu
Cheza, furahi, leo ni siku yako!
Leo shangwe na raha fei kazaliwa tunalewa na kucheza fei mtu sana kwetu, mungu bariki kazi zake wazazi wake enjoy fei ana watu tunacheza imba na dance kwake it's Happy day kwake
Heri ya kuzaliwa, Ferister wetu
Leo tunasherehekea upendo wako
Heri ya kuzaliwa, malkia wetu
Cheza, furahi, leo ni siku yako!
Ferister mrembo.
Ayee, tunakupenda!
Heri ya kuzaliwa!
Happy birthday Ferister
Mwarabu kwenye hii tena happy birthday dada fei

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS