(Intro /
Eyo
Cabinet ,
this
is
Munduli
once
again
again
again) (
sssh-sssh
aah!
Sio
feg
bali
raaa!
Twende
kazi!)
Verse 1:
Ujamaa
uko
wapi,
mbona
siwasikii? (
Wakuu
wa
Cabinet)
Leo
Monduli
yuko
tight,
mfuko
hausemi "
Ndio"!
Nimeamka
na
alosto,
yaani
no
chapaa,
Kichwa
kina
kiu,
full
alosto
ya
chang'aa!
Nishajipiga
diko:
dona
mixer
kachumbari
na
dagaa,
Niko
zangu
tu
getho
nimebung'aa,
Nawaza
Leo
Friday,
wapi
nitakunywa
chang'aa?
Acha
tu
nitege
mtaa,
maisha
msoto
lakini
hatukati
tamaa!
Chorus:
It's
Friday
yaani
furahi-day!
Ijumaa
ni
kula
bata,
tungi
mpaka "
Hello
Jua"!
Ukiwa
na
fifty,
maa
unadaka
mali,
Code
safe
house,
mambo
ni
kubum
kubaaaa!
Ni
ssssh-sssh
aah,
sio
feg
bali
raaa! (
It's
Friday
yaani
furahi-day,
bata
mpaka
kieleweke!)
Verse 2 : (
Udambu-udambu
Asubuhi
nimepiga
simu
kwa
wana
wa
mtaa,
Wote
wanakwambia
mambo
yametaga,
no
chapaa!
Lakini
meza
inabadilika
jioni
ikifika,
Pande
za
Cabinet
mambo
kata
mti
panda
mti
vita
ya
chang'aa.
Piga
mziki
mkali,
vuruga
mzuka
wa
mtaa,
Hata
kama
soda
mkononi,
bata
linang'aa!
Acha
tuchangamke,
wikendi
ndio
hii
imesha
land
Kila
mtu
aruke,
shida
pembeni
kula
kadansee (
Outro)
Haha!
Mambo
ni
kubum
kubaaaa!
Sssssh-ssss
aaaah...
Sio
feg
bali
raaa!
Kasi
ya
mtaa,
furahi-day
mpaka
kumekucha
It's
yo
boy
Munduli
once
again
on
the
track
with
Cabinet
crew
along
the
side
Wakuu
wa
Cabinet ,
washuaaaa -
respect
Sana
kwenu
my
blood
Skrrrrrrr ,
chadog ,
sosa,
bella,
kella
Putin
Mweusi,
Mbao,
Tau,
Michael
na
Tumbo
tumbo
and
then
Zungu,
Mwinyi ,
Deo,
Sunga
na
Joh
Dodoma
Thirty
three
kilometerssss
we
out
yooooo