Sauti ya Yesu, sauti ya Yesu
Binadamu hawana jema, hatakama ukipenda mema
Watakakucheka, watakubeza kama mate
Watakutana kumbuka, hata Bwana Yesu alipofika
Yerusalemu walimpokea kuwafurasha
Mwisho walimkataa, mmm, oh
Sauti ya Yesu, sauti ya Yesu
Bembeleza moyo wako, usikiapo sauti hii
Usifanye mgumu, usifanye mgumu
Usiogope njoko wa Yesu, yeye rafiki wakweli
Yesu anatakiwa, upolesauti yake yabembeleza
Usikiapo sauti hii, usifanye mgumu moyo
Usiogope njoko, Yesu ameahidi
Hata yaliyo magumu, atayarahisiha
Bwana ndiye rafiki, rafiki wakweli, yeah
Sauti ya Yesu, sauti ya Yesu
Bembeleza moyo wako, usikiapo sauti hii
Usifanye mgumu, usifanye mgumu
Usiogope njoko wa Yesu, yeye rafiki wakweli
Sauti ya Yesu, sauti ya Yesu
Mmm, rafiki wakweli