Frobits
🎵 A song made on Frobits

Njooni Tumwimbie Mungu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

*NJOONI TUMWIMBIE MUNGU.*
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Nitamwimbia kwa kuwa aaaah (Yeye ni Mungu wetu uuuuuh)
Nitamwimbia kwa kuwa aaaaah (Kanipa pumzi yake eeeeeh)
Nitamwimbia kwa kuwa aaaaah (Kanikomboa dhambini iiìiiih)
Nitambia kwa kuwa aaaaah (Yeye ndiye sababu ninaishi)
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Nikiuangalia msalaba aaaah
Ninapata tumaini iiiiiih
Tumaini lile la wokovu wangu
Nimepata msalabani iiiiiih
Nikiuangalia msalaba aaaah
Ninapata tumaini iiiiiih
Tumaini lile la wokovu wangu
Nimepata msalabani iiiiiih
Tumaini langu uuuuuh
Nalipata pale eeeeeh
Deni langu lote eeeeeh
Lilipwa pale eeeh
Dhambi zangu zote eeeeh
Zilifutwa pale eeeeeh
Nimepata ukomboziiiiii
Tumaini langu uuuuuh
Nalipata pale eeeeeh
Deni langu lote eeeeeh
Lilipwa pale eeeh
Dhambi zangu zote eeeeh
Zilifutwa pale eeeeeh
Nimepata ukombozi iiìiih
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Ni furaha kumwimbia Mtakatifu
Sifa zake zinadumu milele
Yeye ni mwema kila siku
Njooni tumwimbie yeye mtakatifu
Njooni tumwimbie Bwana
Sifa za utukufu wake
Njooni tumwimbie Bwana
Njooni tumwimbie Bwana
Njooni tumwimbie Bwana
Njooni tumwimbie Bwana
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni
Njooni tumwimbie Mungu
Mwamba wa wokovu wetu
Sifa zake zivume
Watu wote msifuni

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS