*NJOONI
TUMWIMBIE
MUNGU.*
Njooni
tumwimbie
Mungu
Mwamba
wa
wokovu
Sifa
zake
zivume
Watu
Watu
Watu
Watu
wote
msifuni
Nikiuangalia
msalaba
aaaah
Ninapata
lile
la
wokovu
wangu
Nikiuangalia
Nimepata
msalabani
iiiiiih
Nalipata
pale
eeeeeh
Deni langu lote eeeeeh
Zilifutwa
pale
eeeeeh
Nimepata
ukomboziiiiii
Tumaini langu uuuuuh
Nalipata
pale
eeeeeh
Deni langu lote eeeeeh
Lilipwa pale eeeh
Dhambi zangu zote eeeeh
Zilifutwa pale eeeeeh
Nimepata ukombozi iiìiih
Njooni
tumwimbie
Mungu
Mwamba
wa
wokovu
wetu
Sifa
zake
zivume
Watu
Watu
Watu
Watu
wote
msifuni