Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia.
Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia
Amenipa amani,
Amenipa furaha
Ee alichonipa yeye
Namrudishia
Amenipa kicheko
Amenipa uzima,
alichonipa yeye
Namrudishia
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo wala si utajiri
Mimi
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiiiri.
Kumbuka yesu mwenye, alijitoa kufa kwaajili ya mtu mmoja aweze kukombolewa,
Sisi akina nani hata tusimtolee Mungu
Nitamtolea bwana
kwa furaha,
Alicho nipa yeye,
namrudishia
Baba toa, toa, toa
mama toa, toa upate baraka.
Nawe wewe kaka toa toa, toa
Wewe dada ta wewe baraka yeye
Ubarikiwe
Mashamba yako yata barikiwa
Biashara zako
Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia.
Nitamtolea bwana kwa furaha,
Alicho nipa yeye, namrudishia
Amenipa amani,
Amenipa furaha
Ee alichoita yeye
Namrudishia
Amenipa kicheko
Amenipa uzima,
alichoita yeye
Namrudishia
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kugoa nimoyo nawala siutajiri
Mimi
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiiiri.
Kumbuka yesu mwenye, alijitoa kufa kwaajili ya mtu mmoja aweze kukombolewa,
Sisi akina nani hata tusimtolee
Nitamtolea bwana
kwa furaha,
Alicho nipa yeye,
namrudishia
Baba toa, toa, toa
mama toa, toa upate baraka.
Nawe kaka toa toa, toa
Ubarikiwe
Mashamba yako yata barikiwa
Biashara zako zakko
Zitabarikiwa oooo kubarikiwa
Kasonje