Frobits
🎵 A song made on Frobits

Njia Ya Injili (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Oyaah hii ni kwa ajili ya msichana wangu pekee Happiness hahahah utaipenda hii….
Mapenzi si mchezo, Mapenzi si kitoto
Haki ya nani Mr Black nimezama…
Haikuwa jua, Haikuwa mvua, ni moyo wangu ukafunguka..
Mtoto ukaingia..waooooh
Nikasikia Amani, Nikasikia furaha, Nikasikia faraja moyoni ukanijaa…
Katika moja na mbili, sikuwaza mara mbili mtoto ukaniteka hahahahahha mateka kudadadekii
Nakuita Honey
Nakuita Ngochi. yaani ngochiwane
Nakuita Gorgeous Mama
Superwoman mtoto mzuri wa kinyiramba..
Mpenzi wangu..rafiki yanguuu…uliposhikilia wallah endelea kuminyaaa
Mama la Mama… Happiness wangu..Mama watoto… nahata ikijirudia wallah nakuchagua wewe kudadadekiii..
Bonge la Mama.. katika maombi yako ongeza nipate pesa nyingi nikununulie ndinga…
Pamba kali na manukato kwa mbali… na hata ikiwezekana vacation ukalale Dubaiiiiiiih
Nakuita Honey
Nakuita Ngochi. yaani ngochiwane
Nakuita Gorgeous Mama
Superwoman mtoto mzuri wa kinyiramba..
Hahahahahaha

More songs by ItsgonnabeOk360° Listen to songs created by others
FROBITS