Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sifa za Ajabu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Chituz
Na Afrobit
GERALD,GRAHAM NA DONEL GEORGIA
Gerald na Graham
Msisumbue mami
Watoto kazi yao ni kusikia maneno ya watu wakubwa
Msome Kwa bidii na muombe kila wakati.
Kwa sababu kusoma NI muhimu.
Gerald Jimmy Otieno
Donel Georgia Wenwa
na Graham Mich Odida
Mungu azidi kuwabariki
Mue watoto wema.
Gerald Kula ugali wacha kuzubaa wakati WA kula
Graham wacha kupinga kila kitu Bwana,Kula nyama
Donel punguza kulialia
Piga boli Kwa nguvu sana.
Gerald Jimmy Otieno
Donel Georgia Wenwa
Na Graham Mich Odida
Mungu azidi kuwabariki
Muwe watoto wema.
Mungu azidi kuwapa afya Njema,
Matendo yenu yawe mema,
Matendo yenu yawe NI mazuri na mema.
Mola awe nanyi kila wakati
Awape siha Njema kila nyakati na kila wakati na siku Zote.
Gerald Jimmy Otieno
Donel Georgia Wenwa
na Graham Mich Odida
Mungu azidi kuwabariki
Wakati unatumwa Kwa Duka,
Unasikiza vizuri na pesa isijeanguka,
Na kile umetumwa ndicho unanua.
Gerald na Graham wacheni kusudi Kwa malazi.....Donel alishawacha na yeye NI Mdogo
Gerald, Graham na Donel.....
Mungu awabariki kila siku,
Gerald,Graham na Donel
Maulana awashike mkono kila wakati
BARAKA ZA RABUKA ziwafikie.

More songs by Owiti Listen to songs created by others
FROBITS