Frobits
🎵 A song made on Frobits

Utamu Wa Pendo (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Upendo Wa Yesu Hauna Kipimo
Hakika Unanizidia Hauna kifani
Mautini Kanitoa Na Kunipa Uzima
Kwake Vyema Nimetulia Moyo Hakika
Upendo Wa Yesu Hauna Kipimo
Hakika Unanizidia Hauna kifani
Mautini Kanitoa Na Kunipa Uzima
Kwake Vyema Nimetulia Moyo Hakika
Yesu Ni Zaidi Na Kabla Ya Yote
Nampenda Alinipenda Kwanza
Kaniondolea Mauti Uzima Bure Akanipa
Tangu Siku Ile Nilipoamini
Kamwe Hatiani Hakuniacha
Namwita Mfalme Namwita Mwokozi
Uaminifu wake Unadumu Milele
Tangu Siku Ile Nilipoamini
Kamwe Hatiani Hakuniacha
Namwita Mfalme Namwita Mwokozi
Uaminifu wake Unadumu Milele
Yesu Ni Zaidi Na Kabla Ya Yote
Nampenda Alinipenda Kwanza
Kaniondolea Mauti Uzima Bure Akanipa
Kwa Uaminifu wake Anipa Vyote
Mahitaji Yangu Yote Yanatimizwa
Katika Pendo Lake la Milele
Kwa Uaminifu wake Anipa Vyote
Mahitaji Yangu Yote Yanatimizwa
Katika Pendo Lake la Milele
Yesu Ni Zaidi Na Kabla Ya Yote
Nampenda Alinipenda Kwanza
Kaniondolea Mauti Uzima Bure Akanipa

More songs by josephlaizer689 Listen to songs created by others
FROBITS