Salamu zangu kwa famila yangu
Napenda kuwakumbusha jinsi gani nawapendaaa
Nikiamuka Asubuhi na waombea kwa Mungu awapeee memaaa
Mchana jioni na usiku nawahinua mbele za Mungu awalinde nyoteeeeeeh
Tazama ni upendo wa Mungu
Jinsi gani Mungu natupendaa
Nauona uzuri wa Mungu maisha ni mwetuuuh
Upendo
Upendo
Upendo
Ni ufunguo wa maisha yetu*2
Wanangu kaeni sasa niwafundishe Agano la Mungu wetu
Yesu alitupenda kwanza kabla ya msingi ya ulimwengu kuwepo
Mungu wetu ni pendo anapenda watu
Mke wangu nakupenda Sana lakini Mungu anapenda kuliko mimi
Job, Joy, Joshua and Joash Mungu anawapenda kuliko mimi yetu*2
Tazama ni upendo wa Mungu
Jinsi gani Mungu natupendaa
Nauona uzuri wa Mungu maisha ni mwetuuuh
Upendo
Upendo
Upendo
Ni ufunguo wa maisha