Yehova,
wewe
ni
mfalme
milele
Oh,
sifa
zote
ni
zako,
mungu
wetu
Yehova
Yire,
Yehova
Shama
Yehova
El
Shaddai,
Adonai
Yeye
peke
yake
anatawala
Muumba
vitu
vyote,
mweza
wa
yote
Ambaye
yeye
peke
yake
Hapatikani
na
mauti
Amekaa
katika
Nuru
isiyoweza
kukaribiwa
Sifa
zako
zinasikika
duniani
kote
Yehova,
wewe
ni
alfa
na
omega
Huna
mwanzo
wala
mwisho,
mfalme
Heshima
na
uweza
una
wewe
Milele
na
milele,
Yehova
Yehova,
mweza
wa
yote
Shujaa
na
hodari,
mwenye
kutisha
Yehova
Tsedek
wa
haki
yote
Uliyeko,
uliyekuwako
na
utakuja
Ambaye
wewe
peke
yako
Hupatikani
na
mauti
Tunakuinua
leo,
tunakusifu
Wewe
ni
mwamba
wetu
wa
wokovu
Nuru
yako
inang'aa
mioyoni
mwetu
Sifa
zako
zivume
ulimwenguni
Yehova,
wewe
ni
alfa
na
omega
Huna
mwanzo
wala
mwisho,
mfalme
Heshima
na
uweza
una
wewe
Milele
na
milele,
Yehova
Yehova,
mweza
wa
yote
Shujaa
na
hodari,
mwenye
kutisha
Yehova
Yire,
Rapha,
Shammah
Yehova
Eliyon,
Ganan,
Goel
Yehova
Hamelek,
Ez-lami,
Immeku
Yehova
Roi
Raah,
Hashopet
Yehova
Kanna,
Kadesh,
Mephalti
Yehova
Sabaoth,
Shalom,
emeth
Tunakuita
wewe
mfalme
mkuu
Umetukuka
juu
ya
vyote
Hakuna
kama
wewe,
Yehova
Wewe
ndiye
kimbilio
letu
Katika
shida
na
raha,
wewe
upo
Tunainua
mikono
yetu
kwako
Sifa
zikufikie
wewe
mtukufu
Utawala
wako
hauna
mwisho
Jina
lako
litukuzwe
milele
Yehova,
wewe
ni
alfa
na
omega
Huna
mwanzo
wala
mwisho,
mfalme
Heshima
na
uweza
una
wewe
Milele
na
milele,
Yehova
Yehova,
mweza
wa
yote
Shujaa
na
hodari,
mwenye
kutisha
Yehova,
mweza
wa
yote
Sifa
ni
zako
peke
yako,
baba
El
emeth,
Yehova
Wa
ajabu,
milele
na
milele